Makomandoo
wa VHM wakiwa katika Operation ya kusambaratisha kazi za shetani afajiri
 baada ya maombi mazito mama aliyekuwa na tumbo kubwa akidhaniwa ni 
mjamzito kumbe hakuwa na mimba yoyote. Baada ya maombi mazito chini ya 
usimamizi wa makomandoo ya Yesu kupitia Voice of Hope Ministry 
 alijikuta akitapika meno ya mbwa, nywele na vitu visivyojulikana.
Siku 
chache baadaye kutokana na nguvu ya 
maombi yaliyokuwa yakifanywa na makomandoo ya Yesu hapo kijijini saa 
8.45alfajiri mchawi aliyekuwa akiruka angani kuelekea Bagamoyo alivutwa 
na nguvu za Bwana na kujikuta akidondoka chini kutoka angani na hakuweza
 kufanya kitu chochote tena.
 
'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!
 
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....