MATUKIO
 ya mauaji ya kikatili yameendelea kushamiri mkoani Rukwa, baada ya watu
 wasiojulikana kumuua kikatili mtu mmoja kwa kumchinja  na kutokomea 
kusikojulikana na kichwa cha mtu huyo.

Baadhi
 ya askari polisi wakitelemsha maiti ya mtu ambaye ameuawa  kwa kukatwa 
kichwa na watu kutoweka na kichwa chake usiku wa kuamkia leo kwa ajili 
ya kuhifadhi katika hchumba cha kuhifadhia maiti kwenye hospitali ya 
mkoa iliyopo mjini Sumbawanga. 
Mwenyekiti
 huyo aliongeza kuwa watu hao baada ya kufanya mauaji hayo walikwenda 
kumtupa kwenye eneo hilo ambapo asubuhi ya kuamkia leo ndio kiwiliwili 
chake kilibainika kuwepo hapo lakini hakina kichwa kwani waliondoka 
nacho.
Kwa upande wake, Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kuwa polisi inaendelea kuwasaka watu waliohusika na tukio hilo hili hatua ziweze kuchukuliwa
Kwa upande wake, Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kuwa polisi inaendelea kuwasaka watu waliohusika na tukio hilo hili hatua ziweze kuchukuliwa

0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....