VIDEO: ANGALIA WALEMAVU WA MIGUU WAKICHAPANA MAKONDE HADHARANI KWASABABU YA ' DEMU '.....!!




UNAWEZA kucheeka kama utauangalia kwa haraka haraka mmkasa huu wa kusisimua, ambao unawahusu vijana wawili wenye ulemavu wa miguu ambaowalinaswa wakichapana makonde hadharani huku KISA kikiwa ni mwanamke,

MKASA KAMILI

Marafiki hawa walikuwa wote safari moja, mara Ghafla alitokea mlimbwende ambaye mmoja kati ya wale walemavu alionekana kuvutiwa sana na dada yule na ndipo alipoamua kumonyesha Rafiki yake Mpenzi ili na yeye aweze kujionea ...... Mara ghafla yule mlemavu na yeye akaonekana kuvutiwa na Mrembo yule na kusababisha Wivu mkubwa kutika kwa Rafiki yake huyo ambaye waliambatana pamoja.....Mlemavu huyo ndipo alipoamua kumamuru rafiki yake huyo aache kumwangalia mwanadada mara moja la sivyo atampiga , na aliposita kutimiza amri hiyo ndipo UGOMVI mzito alipotokea ...

ANGALIA VIDEO KAMILI HAPO CHINI.....



Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter