Saa 6 usiku!Somewhere in Dar es salaam with ma producer
Tudd thomass nikukuandalia mambo mazuri mapya
Idea zipo nyingi kweli sijui nitumie ipi!!!!
Huu mstali sijui uanze mwanzo??
.............au chorus asimamie mwangu Chegge...???
Kisula nae!!na hapa alinipiga???
Ahsante Mungu,mistari yote imesimama penyewe...ila chorus sasa
Ha ha ha hivi Chegge stayle yangu na yako vinaendana kweli!!??
Tudd vipi tena!!nishamaliza ananirudisha nyumaa..ha ha ha!!!!!
Saa 10 alfajiri!!Baby ananipigia akihofia usalama wangu
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....