Muimbaji na muigizaji wa Marekani, Miley Cyrus ametangaziwa dau la dola milioni 1 kuongoza (direct) filamu ya ngono.
Kwa mujibu wa TMZ, watengenezaji wa filamu hiyo wapo radhi kumpa kiasi hicho kama akifanya kazi hiyo ya nyuma ya kamera.
Barua kutoka kwenye kampuni imeeleza kuwa Miley atapewa uhuru wa kufanya lolote la ubunifu kufanikisha filamu hiyo.
“This gives you a chance to show the world you are not a little girl anymore, and you won’t bow to pressures of the likes of Sinead O’Connor, who is jealous of your success,” barua hiyo ilisema.
Cyrus ametawala vichwa vya habari duniani tangu alivyotumbuiza kwenye tuzo MTV VMA na kuonekana mtupu kwenye video ya ‘Wrecking Ball’.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....