"ZAIDI YA WANAUME 50 WANANITAKA KIMAPENZI LAKINI MIMI NAJITAMBUA NIFANYE NINI KUWAEPUKA"....NEYLEE


Mshindi wa Serengeti Fiesta mwaka jana, kutoka Mbeya Neylee amesema amekuwa akipata usumbufu kutoka kwa wanaume walaghai lakini anajua jinsi ya kuwaepuka kwakuwa anachokiza ni muziki peke yake.

Akizungumza na mpekuzi wetu, Neylee amesema simu yake imekuwa busy kwa kupigiwa simu na wadau muhimu anaofanya nao kazi lakini baadaye hubadilika na kumtaka kimapenzi.
 
“Zaidi  ya  wanaume  50  wananitaka kimapenzi lakini mimi najitambua nifanye nini kuwaepuka .Mbaya  zaidi  ni  kwamba  wengi  wao  tunafanya nao kazi.Ninachokifanya  ni  kuwaonesha  kwamba  mimi  si  jamvi  la  wageni.Kwa hiyo, wote  nimewakataa.

"Uamuzi  wangu  umetokana  na  ukweli  kwamba wanaume  wa  siku hizi  ni  waharibifu.Ukimpa  nafasi  atataka  akutumie  hata  NYUMA (Makalioni )  na  ndio  maana  mimi  nawaogopa  sana"..Alisema  Neylee

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter