VIDEO: ATEMBEA UCHI KWENDA SHULENI KUMUONYA MWALIMU MWENYE NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MUME WAKE....


Mwanamke mmoja huko Bahamas alienda kwenye shule ya serikali AF Adderley akiwa uchi wa mnyama kumuonya mwalimu mwenye uhusiano wa kimapenzi na mume wake.

Aliingia darasa lenye wanafunzi under-age ambako mwalimu huyo alikuwa anafundisha, kumwambia yule mwalimu "UNAFIKIRI MUME WANGU ANAWEZA KUNIACHA? AACHE MWILI MZURI KAMA HUU?"

Angalia video chini


Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter