JAHAZI LATEKETEA KWA MOTO KATIKA BAHARI YA HINDI NA KUUA WAVUVI 11...!!


Jahazi inayosadikiwa ni ya wavuvi iliyokuwa na takribani watu 11 imeteketea kwa moto katika bahari ya Hindi eneo la Mtukule  leo  asubuhi.
 

 Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam  limethibitisha kuokolewa kwa wavuvi wote 11 ambao Jahazi lao liliwaka moto katika eneo la Nyakatome. 

-ITV

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter