Wapo wanaodai kuwa adhabu hiyo haikuzingatia kanuni za bunge na badala yake ilitolewa kwa jazba za Naibu spika wa bunge.....
Mbali na hao, lipo kundi linaloamini kuwa adhabu hiyo ni sahihi na wanadai kuwa ni ndogo na pengine ingekuwa vyema kama ingeongezwa ili liwe fundisho kwa wabunge wengine
Kwenye kipindi cha tuongee asubuhi Star TV ,mhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM), Dr Bana,amesikika akisema kuwa adhabu waliopewa akina Lissu ya siku tano haitoshi na walitakiwa wapewe adhabu hata ya miezi mitatu na wakatwe mishahara pia.
Kauli hiyo imeibua maswali mengi miongoni mwa wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanaodai kuwa iwaje mbunge afukuzwe kwa kuomba MWONGOZO wakati aliyetukana tusi za nguoni "Come-on Fu*ky you" ameachwa???
Hii ni video ya mbunge aliyetukana "Come-on Fu*ky you"
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....