Kindumbwendumbwe hicho ambacho kimetokea Nchini Zambia kimekuwa ni stori kubwa hivi sasa nchini humo mara mwanamke mmoja kumfumania mumewe akimega tunda la kati kati na hawara yake ambaye walikuwa na mahusiano kwa muda mrefu hivi sasa.
Mhanga wa mkasa huo Bi Shamiso Marovero alieleza kuwa "Nilikuwa za kwenye eneo la biashara nauza nguo kama kawaida yangu, Lakini mara Ghafla nikashangaa wanakuja watu 9 ambao siwajui kabsa na kuanza kunishambulia bila ya Huruma. Hali ilizidi kuwa mbaya mara pale walipodiriki kunivua nguo zote mbele za watu na kuniacha kama nilivyozaliwa" Alisema dada huyo
Marovero aliendelea kudai kuwa kamwe hakuwahi kuwa na uhusiano na mume wa mtu yoyoye na yeye kufanyiwa hivo ni kitendo cha kionevu.
NAMNA HII UKIMWI UTAISHA JAMANI??? TUPO WANGAPI??? TULIZANA.......
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....