|
khaaaa kweli mpambe ana nguvu |
|
mmmmh mmmmh mmetumwa?? |
kwakweli mimi nimechoshwa na haya mambo wajameni najionea air air tuu, hivi huko Instagram kuna pepo gani?? mwenzenu akiweka tu post yake wanaadam mnakuwa na joto hasira utafikiri mmelipwa vile daah wabongo kwa umbea na drama salute, sasa mnachogombana nyie wenyewe kwa wenyewe ni nini haswa??
wenzenu wamepumzika na wanafanya yao nyie pumzi zinawatoka sasa mkiumwa pressure itakuwaje yarabi na pilipili sio yenu, hebu acheni ushambenga fanyeni kazi kutwa kucha masaa yote mpo insta ili mgombane
muwaache wenzenu wapumzike.
Posted by CEO Sintah (Unstoppable)
'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....