MWANAMKE MWIZI APIGWA NA KUBAKWA HADHARANI KWA KUMUIBIA ABIRIA KITUONI!!



Katika hali ya kusikitisha na ya kutia  majonzi binti mmoja Mkazi wa ABUJA nchini Nigeria Juzi alijikuta katika matatizo makubwa mara baada ya kujikuta akiangukia katika mkono wa watu wasio na huruma ambao waliamua kumpiga na kumbaka hadharani.

Tukio hilo ambalo limetokea Stendi kuu ya mabasi jijini Abuja ilimshudia mwanadada huyo ambaye alikuwa akikaa kituoni mara kwa mara bila ya kuwa na kazi yoyote.
Abiria wa mabasi tofautitofauti kituoni hapo waliposhuka ndipo dada huyo alimvaa abiria akiwa na lengo la kuiba pochi ya ke na simu ya mkononi ambayo alikuwa ameshika abiria huyo.

Ndipo abiria huyo alipopiga makelele akiashiria kuibiwa mali yake na mara GHAFLA ndipo wananchi wenye hasira kali walipoamua kumzingira mwizi huyo wa kike na kuanza kumshambulia kwa silaha mbali mbali zikiwemo fimbo na kitu kibaya zaidi ni pale vijana wahuni wa kituo hicho walipoamua kumfnyia kitendo cha ubakaji dada huyo hadharani huku raia wengine wakibaki wanaangalia tu, ndipo mizi huyo alipoamua kupiga makele ya msaada kwa wanausalama ambao walifika eneo la tukio na kumchukua mwalifu huyo.

Vitendo vya wizi kwa watoto wa kike jijini Abuja vimekuwa ni vingi hadi kufikia hatua wazazi kutokua na imanai na watoto wao wa kike ambao hupenda kuzagaa mitaani bila ajira yoyote.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter