NEY WA MITEGO APOKEA KICHAPO KUTOKA KWA MASHABIKI HUKO MBAGALA ZAKHEN MARA BAADA YA KUMTUKANA CHID BENZ KUWA NI SHOGA...!!

 
Híki ndicho kilichomponza Ney wa Mitego jioni katika show yake ya Mbagala Zakhen ni; Aliposema Chid Benz katoboa pua au c ridhiki? Na wavuta sigara wote ni Matahira.Hapo ndipo raia fans wa Chid benz na Wavuta fegi wakalianzisha.Palikuwa hapatosh amesepa hana viatu na watu wameumia na kuibiwa.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter