HIVI NDIVYO DIAMOND ALIVYOPONDWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUANDIKA KINGEREZA CHA UGOKO KWA

Wabongo kwa kukosoa hawajambo.. Katika pitapita yangu instagram kuna picha mkali Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea. JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini watu walivyokua wakicomment

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter