Tunapenda kutoa pole kwa rapper Black Rhyno kwa kuuguliwa na mke wake Beatrice Mmbaga Haule ambaye kwa mujibu wa rapper huyo mke wake anaumwa sana na amelazwa kwenye hospitali ya Agakhan jijini Dar es Salaam.
“Am in a very bad mood !! Everything I love has gone bad and my wife is very sick admitted at AGA KHAN hospital at this time, God give me strength,” ameandika jana kupitia Facebook.
Get well soon Beatrice.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....