Bibi mmoja ambaye jina
lake halikuweza kufahamika amesadikika kudondoka kichawi maeneo ya
Tabata Kinyerezi Kisiwani baada ya wenzake aliyedai alikuwa nao
kumuacha.Bibi huyo ambaye amechezea kipigo kwa Raia kwa kumtuhumu ni
mchawi amedondoka Asubuhi ya LEO katika maeneo hayo huku akionekana
kutokuwa na kumbukumbu nzuri au kuwa na kiweru weru baada ya
kufumaniwa na RAIA.
'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....