Heshima kwenu wadau.mchezo niliunza
mwaka 2008.mpaka .....nikiwa boarding kuuacha nilishindwa....nilivyooa
nikapunguza kasi.....sasa mke yupo likizo takriban miez 2..mpaka muda
huu naandika Ujembe huu najiandaa kupiga cha tano.....natamani niache.je
nitumie njia gani?
'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....