Upo single? Una shilingi milioni 43 za kuchezea? Basi mrembo huyu
wa Urusi, anakupa fursa ya kulimenya ganda lake vyovyote utakavyo kwa
mkwanja huo.
Mrembo huyo aitwaye
Shatuniha ameinadi bikira yake £17,000 sawa na zaidi ya shilingi milioni
43 za Kibongo. Shatuniha, 18, alisema: “Nina shida ya haraka ya hela,
hivyo nauza kitu changu cha thamani zaidi ninachomiliki. Niko tayari
kukutana na mtu haraka iwezekanavyo, hata kama ni kesho na nipo tayari
kuthibitisha kama kweli ni bikira.
Naweza kuja
kwenye hoteli pale Predmostnaya Square nikiwa na nyaraka za kuthibitisha
ubikira wangu, na mtu ambaye atachukua hela na kuondoka ili nisiingizwe
mjini. Mtu huyu ataondoka na hela lakini mimi nitabaki. Pesa inatakiwa
kuwa cash tu.”
'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....