Langu, nina imani mtanipa ufumbuzi sahihi. Mimi nina mchumba wangu ambaye tulipanga kuoana mwezinwa kumi na mbili ila sasa sioni umuhimu wa kufunga nae ndoa tena kwani mwanzo alikua na kazi yake, lakini sasa kafukuzwa kazi sidhani kama ataweza kunihudumia mtu kama mimi.
Tena maisha yake yamekuwa magumu sana tofauti na mwanzo kwani tukikutana alikua ananiachia pesa za kutosha lakini sasa tukikutana ananiachia pesa za mihogo yani kafulia sana hana maana. Sasa nahitaji mnipe mawazo yenu je, niachane nae au nimsubiri apate kazi tena ndio tuoane?”
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....