HATIMAYE FEZA KESSY KUVISHWA PETE YA UCHUMBA NA ONEIL WA BOTSWANA....

ILE ndoto yao ya muda mrefu itakuwa sasa imetimia baada ya waliokuwa washiriki wa shindano la BBA'The Chase'2013,Feza Kessy kutoka Bongo na mchumba wake Oneil wa Botswana kunaswa hivi karibuni wakinunua pete ya uchumba katika duka moja la vito nchini Botswana.

Feza amerudi tena nchini humo baada ya kurejea Bongo na kukaa kwa siku kadhaa picha mbalimbali amepiga akiwa na mashabiki wao.…
uswaziblog

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter