WANAWAKE WATEMBEA 'UCHI' NCHINI TOGO KUISHINIKIZA SERIKALI!!



KITUKO kikubwa kimtokea huko Nchini TOGO ambapo wananchi nchini humo waliandamana huku wakiwa UCHI wa mnyama kwa kuishinikiza SERIKALI yao kuwaachia huru wandishi wa habari ambao walikamatwa hivi karibuni.


Wanachi hao wameonyeshwa kukerwamno na mwenendo mzima wa RAIS  wa nchi hiyo bwana President Faure GnassingbĂ© kwa kitendo cha kuwanyanyasa wananchi pamoja vyombo vya habari vya NCHI Hiyo.




Maandamano makubwa yamepangwa kufanyika tena mwishoni mwa wiki hii ambapo hii sasa inategemewa kuwa mbaya zaidi ambapo hadi wanaume inasadikika kuhusika katika mgomo ujao kwa kuwaunga mkono wanawake nchini humo kwa kuvua nguo na wao!!

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter