KATIKA jamii yetu ya sasa tumeona vitendo vingi vya akina dada hususani wasanii kuanika maumbile yao hadharani na hii imetokana haswa na kile kinachosemekana kuwa ni mmong'onyoko wa maadili kupindukia.
Pengine Hilo linaweza kuwa si jambo la kushtusha kwa sasa lakini baya zaidi linaloonekana kuikumba DUNIA ni hii tabia chafu ya MAPENZI ya jinsia moja.
Yaani siku hizi imekuwa ni kawaida kabisa kwa mtu kujitangaza kuwa yeye ni GAY au LESBIAN .
Picha zifuatazo ni baadhi ya zile ambazo zimechukuliwa ili kunyesha mfano jinsi gani watu wanavyo mkufuru MUUMBA wao, kwa siku hizi imebatizwa na jina inaitwa MITINDO HURU!!!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....