KWA hapbari Tulizozipata hivi punde kutoka kwenye UKURASA wa nani mkali wa Tanzania ni kwamba yule msanii wa BONGO FLEVA na mwigizaji maarufu wa vichekesho hapa NCHINI 'SHARO MILONEA; haatunae tena. Taarifa zaidi kuhusu kifo chake na sababu hasa bado hatujazipata,ENDELEA KUWA NASI wakati waandishi wetu wakiendelea kufuatilia kwa kina undani wa habari hii na tutakujuza hivi PUNDE.............
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....