Huu ni unyama uliopitiliza.Tumezoea kuyaona matukio kama haya yakitokea huko Nigeria.Leo hii tunajiona kwa macho yetu hapa hapa nchini Tanzania.
Huu ni unyama walioufanya madereva boda boda kwa kijana ambaye haikuweza kujulikana mara moja kuwa kosa lake ni nin.
Kijana huyu amefungwa mikono kamba na madereva boda boda wanamshambulia kwa zamu kwa kumgonga .
Tazama Video yenyewe hapa chini kisha toa maoni yako
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....