"I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA".....DIAMOND PLATNUZ


Baada ya kusambaa kwa taarifa za Diamond Platnums kurudiana na Wema Sepetu, Diamond kupitia website yake leo ameandika…. “kumekuwa na Uvumi na habari nyingi sana Mitandaoni na kwenye Media tofauti kwamba mimi na Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu ambacho sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..
‘Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko kimahusiano basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? Futeni huo uzamani na mbadilike, inamaana mnapenda kuona watu wanauadui… ni muda wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania na si kuekeana chuki zisizo na faida, I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA’ – Diamond Platnumz.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter