Aidha habari zaidi ziliendelea kusema kuwa mtangazaji huyo kwa sasa anajipanga na maisha ya “ujane” kwani anamini mwisho wa mchezo umefika kati yake na Diamond “ Penny ameanza kujipanga katika maisha mapya ya ujane sasa hivi ameanza kushinda kazini kwake maneno Komakoma na wastaafu wenzake japo kurejea kwenye hali yake ya kawaida” Ilielezwa
Hata hivyo mtangazji amekuwa akiumia zaidi akifikiria namna ya kurejesha mahusiano yake na Wema tena pamoja na kampuni yake ya zamani ambayo ni Kajala, Lulu, Jenifa Pemba, ambao hao wote walikuwa wamemtenga kwa kosa la kupora mume wa mtu Diamond ambae alikuwa na Wema Sepetu.
"Nimempa kila alichohitaji mwanaume huyu hata vingine ambayvyohajawahi kupewa lakini wapi na kuifanyia wema familia yake lakini wapi aah kha jamani ngojeni nipumue tu"
Katika hatua nyingine familia ya Diamond imepigwa na butwaa kwa taarifa hizo za Diamond na wema kurudiana kwani ni dhahili kuwa familia hiyo ilikuwa inafurahishwa na mkwe wao Pennieh ambae anasifiwa sana kwa mambo ya kupika mahanju mati ambapo tofauti na Wema Sepetu ambae yeye hajui chochote
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....