"AUNTY ALINILAZIMISHA MPAKA TUKAENDA KUPIMA UKIMWI....NAWASHANGAA WANAOSEMA NIMEAMBUKIZWA...." BOND

Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ akiwa na mpenzi wake wa zamani, Bond Bin Suleiman.

IMEVUJA! Msanii wa filamu za Kibongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ alimlazimisha mtangazaji wa Channel Ten, Bond Bin Suleiman apime virusi vya Ukimwi kipindi walipokuwa wapenzi.

Aunty Lulu na Bond enzi hizo.
Akichonga na paparazi wetu, Bond alisema baada ya kulazishwa kwa muda mrefu na Aunty Lulu, kwa mara ya kwanza alijikuta amepima Ukimwi na bahati nzuri walikutwa wako salama.
“Kipindi nikiwa na uhusiano wa kimapenzi na Aunty, alinilazimisha mpaka tukaenda kupima Ukimwi tukajikuta tupo salama ndiyo tukaendelea na mapenzi yetu na tulikuwa na tabia ya kupima mara kwa mara lakini nawashangaa wanaosema nimeambukizwa ngoma,” alisema Bond.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter