Hizi haki za binadamu sasa zimezidi.....
Hii ni video ya mwanadada ambaye aliamua kutinga ofisini akiwa uchi.....
Usafiri alioutumia kufika ofisini ni treni.Cha kushangaza watu hawakuonesha kumshangaa ....walikuwa bize na mambo yao....
Kwa kulinda maadili ya mtandao huu, video hiyo haitawekwa humu....
Kama wewe ni mtu mzima na kwa hiari yako utataka kuitazamana basi bofya hapo chini.....
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....