SIKU chache baada ya Mtanzania aliyefia nchini China, marehemu Josephat Mkumbukwa Dumwe (39) kuzikwa Aprili 3, mwaka huu, inadaiwa kuwa mchongo wa kuuawa kwake aliujua mapema.
“Kabla marehemu hajasafiri kwenda China zilivuja habari kuhusu kuuawa kwake lakini alipuuza kwa sababu aliamini hakuwa na adui yeyote. Bahati mbaya amefariki dunia na hakuwahi kutueleza mpango huo ulisukwa na nani na kwa sababu zipi,” alisema Kombe.
Mkumbukwa alifariki nchini China na maiti yake ilikaa mwaka mmoja kabla ya kusafirishwa hadi Tanzania huku kifo chake kikiacha maswali mengi.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....