BAADA YA KUMALIZA UGOMVI NA T.I.D, SALAMA AFUNGUKA "NILITAKA KUMWONYESHA T.I.D KUWA MIMI NI DADA YAKE"...!!


Mtangazaji wa mikasi SALAMA J leo ameongea na sudi yani katika u heard ilionifuraisha ni hii ya salama na t.i.d.
Salama j amesema yeye hanatatizo na T.I.D na kama hujui salama na T.I.D ni mtu na ndugu yake so salama amesema hanatatizo na T.I.D japo kuwa mnyama yeye akusema kama yeye na salama ni mtu a nduguye.Ila kwa upande wa salama amesema hatoacha kumpa interveiw T.I.D hata ikiwa vipi na kuhusu kukimbia asema yeye hakukimbia sehemu yoyote anashangazwa na maneno ya mnyama t.i.d.

T.I.D alisema yeye alitaka kumkumbusha kwamba salama yeye ni mwanamke na SALAMA asema nayeye alitaka kumkumbusha T.I.D kwamba yeye salama ni dada yake.
hayo nimaneno ya salama akiwa anaongea kwa pozi leo hii

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter