Mgambo huyo akitoa maelezo kwa familia ya mzee Mdaku,kulia ni mke wa marehemu na kushoto ni mtoto wa kwanza wa marehemu akiwa na mumewe
Padri akizungumza na Mgambo huyo nje ya kaburi hilo
Maneno haya ya busara yaliwekwa nyumba ya msaraba uliopo kwenye kaburi la mpendwa wetu Mzee Mdaku
Baada ya kuhojiwa na mwandishi wa habari hizo Afande huyo alitoa rundo la viroba mfukoni na kudai kwamba kitu hicho ndichon pekee kinachompa ujasili wa kukaa makaburini usikukucha
Baada ya kugonga viroba mfurulizo afande huyo alijikuta akiuchapa usingine wakati shughuri zikiendele kama alivyonaswa na kamera za Mtandao huu.
KUTOKANA na kukidhiri kwa vitendo vya wizi kwenye makaburi,familia ya marehemu mdaku imeamu kuweka mlinzi kulinda kaburi la mpendwa wao nyakati za usiku kwa lengo la kulinda vitu mbali mbali vya dhamani zilivyomo kwenye kaburi la mpendwa baba yao.
Akihojiwa na mwandishi wa habari hizi mgambo huyo aliyejitambulisha kwa jina la Mganga Chigillo aliuthibitishia mtandao huu kupewa kazi ya kulinda kaburi hilo vyakati za usiku kwa lengo la kupambana na vikaba wenye tabia ya kuvamia makaburini vyakati za usiku na kuimba vitu mbali mbali.
" Nikweli nalinda kaburi la mzee mdaku na kwamba kazi hiyo sio nyepesi mfano jana majira ya saa nanne usiku nimeshuhudiakundi la watu wake kwa waume wakiwa wamevamia nguo nyeupe wakizunguka kwenye makaburi .lakini kwa ujasiri sikukimbia badala yake niliendele kugonga pombe yangu aina ya konyagi niliweka dhana zangu jirani kama wangenilitea noma ningepambana nao kwa bahati nzuri walipomaliza shughuri zao waliondoka zao bila kusogea kwenye kaburi hili" alisema Mgambo huyo mwenye mke na watoto kadhaa.
Juzikati familia ya marehemu Mdaku ambaye alitajwa kuwa ni muumni safi wa kanisa katoriki Parokia ya Kingurunyembe walimfanyia ibada ya kumbukumbu ya mwaka mmoja toka alivyotutoka,Bw ametoa na bwana ametwa jina lake libarikiwe,
SOURCE: GPL
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....