Jeshi la polisi Zanzibar limetoa mchoro wenye taswira ambayo inasadikiwa kuwa ndiyo sura ya muuaji wa padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Zanzibar aliyeuwawa mwezi uliopita akijiandaa kuingia Kanisani ili kuongoza ibada.
Pata habari Moto moto za ndani na Nje ya Nchi kila siku utembeleapo mtandao huu...!!
'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....