MTOTO wa kigogo Bongo aliyepata kuwa mbunge wa jimbo moja jijini Dar es Salaam (jina kapuni) aliyetajwa kwa jina moja la Happy, amenaswa gesti akiwa na Muddy aliyedaiwa kuwa ni mume wa mtu.....
Ukurasa wa tipu unabainisha kuwa binti huyo alifanya kitendo hicho cha aibu hivi karibuni maeneo ya Sinza kwenye nyumba moja ya kulala wageni ambayo inasitiriwa jina lake kwa sasa.
“Alianza kutembea na mume huyo wa mtu kwa muda mrefu, kosa alilofanya ni kupiga picha chafu kwa kutumia simu yake,” chanzo kilianika mkasa.
Inaelezwa kuwa picha hizo zimesambazwa na rafiki mmoja wa msichana huyo kwa kinachodaiwa kutaka kuwaumbua wawili hao.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....