"DIAMOND ANAINGIZA KIASI KIKUBWA CHA PESA KWENYE RINGBACK TONES KULIKO MSANII YEYOTE TANZANIA, THE BOY IS SO HOT ".....RASHID SHAMTE

Mwanzilishi wa kampuni ya Push Mobile inayohusika na uuzaji wa miito ya simu, ringback tone (RBT) amesema Diamond ndiye msanii wa Bongo Flava anayeingiza fedha nyingi zaidi.
Rashid ShamteRashid Shamte
Shamte ametoa taarifa hiyo jana alipokuwa akizungumza kwenye kongamano la mchango wa technolojia ya habari na mawasiliano ICT kwenye tasnia ya muziki nchini katika kituo cha ubunifu wa technolojia hiyo cha KINU jijini Dar es Salaam.
DIAMOND-COMPRESSED-12
“That boy is hot, you have no idea how much money he makes from RBT, I handle that account true story,” alisema Rashid.
Alipoombwa ataje ni kiasi gani Diamond anaingiza kutokana kuuzwa kwa nyimbo zake, Rashid alisema, “lots… let’s just say he is happy.”
Lakini Shamte alisema kama angekuwa na umaarufu kama Diamond alionao angeingiza fedha nyingi zaidi kuliko sasa.
“If I was hot like Diamond trust me I would be rich and I would not need to have anybody manage me or anything, I would put up a website, I would put snippets of all of my tracks because I can’t really make any money from radio, I would dump a bunch of songs onto radio, I will make sure you can stream a little bit of it but if you want all of it, I will make you pay me 200 using M-Pesa, if you want to download it I will make you pay me a hundred using M-Pesa.”

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter