SHILOLE AWAPA SOMO WASANII

 



MSANII wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amewataka wasanii wenzake kujiunga kwenye michezo mbalimbali ili kuboresha afya zao.

Akizungumza na Stori 3 akiwa katika Viwanja vya Leaders jijini Dar, Shilole alisema yeye amejiunga na mchezo wa kikapu na tayari ameona matunda ya kufanya mazoezi hivyo kuwashauri wenzake wajiunge.
“Mimi nimecheza netiboli kwa muda mrefu katika Timu ya Bongo Movie, nawashauri wenzangu nao wajitokeze kwa wingi tufanye mazoezi maana tusipofanya na hivi vyakula tunavyokula ni hatari,” alisema Shilole.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter