USIKU wa kuamkia leo kulikuwa na shughuli ya sherehe ya kuzaliwa kwa dada wa msanii wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum, nyumbani kwake Sinza Mori jijini Dar es Salaam, kikubwa mtandao huu ulichokibaini ni juu ya shughuli hiyo kutawaliwa na wasasambuaji au wazungusha nyonga wa Tandale na K/koo, waliokuwa wamealikwa katika shughuli hiyo.

Ndiyo habari ya mjini hiyo
.Dada wa Diamond, kushoto akizungusha nyonga na mmoja wa marafiki zake waliokuwa wamehudhulia kwenye shughuli hiyo.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....