Hakika kuna jamii zenye roho za simba......!!!
Kijana mmoja amejikuta mikononi mwa wananchi wenye hasira kali baada ya kutuhumiwa kuiba......
Wananchi hao walitoa kichapo kikali kwa kijana huyu , hali iliyomfanya ajeruhiwe vibaya.....
Kama vile haitoshi, wananchi hao walifikia maamuzi mabaya baada ya kuamua kuyakatisha maisha ya kijana huyu kwa kumchoma moto....!!!
Ni kweli wizi ni mbaya , lakini iko haja sheria zikaachwa zichukue mkondo wake kuliko kujichukulia maamuzi mabaya kama haya.......
Tukio hili limetokea nchini Nigeria, lakini ni vema likawa fundisho kwetu juu ya ukatili na unyama huu maana ni jambo ambalo halikubaliki katika nchi yoyote
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....