JAMAA ALA KICHAPO KIZITO BAADA YA KUNASWA AKIBAKA MTOTO WA MIAKA 8!!



KATIKA hali ya ajabu na ya kusikitisha kijana mmoja ambaye jina lake tumeliifadhi amejikuta akiingia matatani mara baada ya kuangukia kwenye mikono ya Wananchi wenye msimamo mkali kwa shutuma za kumbaka mtoto mdogo wa umri miaka nane, 

Shutuma hizo zilitolewa na mama mzazi ambaye anadai kuwa alikuwa akiona mabadiliko makubwa mno kipindi anapojaribu kumwogesha mwananye huyo na hasa anapotaka kumsafisha maeneo ya siri ya mtoto huyo.
Aidha mama mzazi huyo alidai kuwa mara nyingi kijana huyo alikuwa akimchukua mwanae huyo kwa Lengo la kumfundisha masomo ya kawaiada ya DARASANI lakini kumbe mshenzi huyo ikuwa akifanya na upuuzi wake humo humo.

Ndipo mama mzazi akiongoza kundi la wananchi wenye hasira kali walipomvizia kijana huyo wakati alipokuwa ndani akiendeelea na ushenzi wake huo kama anavyotupasha mwandishi wetu walipomwingilia ndani kijana huyo na kumnasa live akifanya ushenzi wake huo.

Ndipo kijana huyo alipojikuta akipokea kichapo kutoka kwa raia hao ambao walionekana kuchoshwa na matendo hayo.
Mama mzazi anajiandaa kumfungulia kesi ya udhalilishaji kijana huyo, na kwa sasa kijana huyo bado anashikiliwa na Polisi kwa sababu za kiusalama.

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter