Mwanamke mmoja NCHINI NIGERIA anashikiliwa na POLISI kwa kosa la kumchom kwa moto boyfriend wake kisa kikiwa ni kumnyima penzi msichana huyo.
Ripoti za polisi zinadai kuwa jamaa mwenye nyumba alikuwa na msichana huyo ndani na mara baada ya mabishano kidogo ndipo mwenye nyumba huyo(BOYFRIEND) alipoamua kumuamuru mwanadada huyo kuondoka haraka nje ya nyumba hiyo kwani alikuwa akimlazimisha wafanye mapenzi huku kaka huyo alikuwa hayuko tayari kufanya hivyo.
Ndipo dada huyo alipoamua kuchukua Jagi lililojaa mafuta ya PETROL na kuanza kuichoma nyumba hiyo.Mtuhumiwa bado anashikiliwa na polisi kwaajili ya mahojiano zaidi
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....