Wivu wa Wema Buree-Diamond Alala kwa Demu Mpya


Ni uwazi uliyopo kwa sasa kuwa watu wengi wanajiuliza maswali kuhusu mpenzi hasa wa Diamond ni nani baada ya magazeti kuandika Stori tofauti tofauti kuhusu mahusiano yake baada ya kuachana na Wema. Tulisikia yupo na Jokate lakini kwa sasa Sioni hicho kitu hata kwenye Birthday yake Jokate hakuwepo Bali alikuwepo Wema At the Same Time Tunaambiwa Wema ni Marafiki tu..Vile vile Hapo Kati kuna Msichana Najma Ambae nae kuna tetesi fulani fulani Juu ya Diamond kuwa nae...leo Gazeti la Risasi limebainisha kuwa Diamond alionekana amelala kwa Najma Aliingia kwake saa nne Usiku na Kutoka kesho yake Saa nne Asubuhi .....Habari Ndio...Wema Yupo?

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter