Hii ndo KAULI ya DIAMOND kuhusu KUVUA BOXER SIKU ya FIESTA DAR.


First of all ningependa sana kutanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa muda huu wote wa kuusimamia na kuuongoza muziki wa Bongo Flavour kuanzia umeanza hadi leo ulipofikia...Kiukweli umepiga hatua kubwa sana,kadri siku zinavyozidi kwenda ndipo muziki huu umekua ukizidi kupata Umaarufu,kupata Mashabiki na kufatiliwa ndani na nje ya nchi...Honestly najivunia sana kuwa mtanzania na kuwa Miongoni mwa Wanabongoflavour hao....na hii ni moja ya show Kali ambayo kiukweli katika hii wiki imezua gumzo sana,sifa na kufanya ulimwengu kutaka kuzidi kuufahamu na kuujua muziki wa bongo flavour zaidi kutokana na ubunifu uliofanyika humu ndani ......

Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter