Msanii wa tasnia ya filamu Bongo,anaye julikana kwa jina la SALMA JABU a.k.a NISHA amefunguka zaidi kuhusiana na skendo iliyowahi kumkuta ya kuwa yeye ni msagaji na kusema ni skendo iliyokua inamnyima usingizi kwa kuwa alivyojieleza sivyo ilivyokua kutokana tu na kutokua na upeo wa kujielzea kutokana na uchanga katika sanaa kipindi hicho.
Pamoja na kukataa kuwa yeye si msagaji, NISHA amefunguka na kudai kuwa hana uhusiano wowote na Nay wa Mitego na kuongeza kuwa hakuna lolote linaloendelea zaidi ya yeye kupenda tu show za ney wa mitego na si vinginevyo
Nisikuchoshe msomaji wangu, msikilize Nisha akijieleza mwenyewe mbele ya mpekuzi wetu Katikati ya interview kuna mziki kidogo, halafu mwishoni interview inaendelea

0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....