HII NI VIDEO YA MCHUNGAJI ALIYENASWA AKIZINI NA MWANAMKE TASA AMBAYE ALIDANGANYWA KUWA ATAPATA MTOTO!!



Ama kweli waswahili wanasema tembea uyaone, na kuwa mwenye macho baii haambiwi tazama, labda nikupe muhtasari mfupi ndugu msomaji kuhusiana na mkasa huu:
Hii ni video ambayo kwa sasa imevuja sana kwenye mitandao mingi hapa Africa na kote duniani ikimuonyesha mchungaji wa kanisa akizini na mwanamke ambaye anasadikiwa kuwa ni tasa na alimfuata mchungaji huyo kwa lengo la kumwombea ili aweze kupata mtoto lakini matokeo yake mchungaji huyo bila hata ya kuwa na hofu ya mungu yeye aliamua kuzini nae kwanza kabla ya yote, kitu cha ajabu zaidi ni kwamba mwanamke huyo na mchungaji walikuwa wasema maneno yafuatayo “Power, Enter" kumaanisha kuwa atapata mtoto pindi mchungaji atakapomaliza haja yake hiyo



Maneno yanayoongelewa humo yapo katika lugha ya 'the delta state language' ambapo ufuska huo umeonekana kufanyika katika eno la kificho mbali na kidogo na mji.

Huu ni utapeli mkubwa na udhalilishaji wa IMANI za watu kwani dhana iliyotumika humu ni kudhalisha dini na sio kutibu tatizo la mwanamke huyo

TAHADHARI: 
VIDEO HII INAPASWA KUANGALIWA NA WATU WENYE RIKA LA UMRI USIOPUNGUA MIAKA 18, TAFADHARI  HESHIMU MAADILI.

(*WARNING* You Must Be 18yrs Or Older To Download and View The Video)

Sasa ndugu zangu wala tusichoshane kwa maneno mengi, video yenyewe hiyo hapo chini nimeiweka ilina nyinyi mjionee wenyewe dhambi za wacha mungu hawa.
Pia tunaomba kama unaweza, basi shea na watu wako wa karibu ili mtu huyu aweze kutambulika mara moja na kuchukuliwa hatua za kisheria ili mambo kama haya yasiweze kutoke kwenye jamii zetu.
"BLOG HII INAOMBA RADHI KWA WALE WALIOATHIRIKA NA VIDEO HII KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE"


               <<<<BOFYA HAPA KUTAZAMA VIDEO YENYEWE>>>>





Tupe maoni yako hapo chini..!

Share this article :

'LIKE' UKURASA WETU WA FACEBOOK HAPO CHINI...!

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA....

 

Copyright © 2010 GUMZO LA JIJI.

Like Us On Facebook
Follow Us on Twitter