Balaa kubwa limetoke mwishonni mwa wiki hii baada ya fumanizi la kutisha lililohusisha mke, mume na kimada katika nyumba za kulala wageni.
Rafiki wa mke ndio aliyeuona mchezo huo ambapo anasimulia kuwa aliwaona mume wa rafiki yake akiwa na kimada huyo wakielekea maenea ya nyumba za kulala wageni nje kidogo ya mji.
Baada ya kuona hivyo ndipo dada huyo alipoamua kumtonya rafiki yake kuhusiana na mkasa huo ambao ulikuwa ni kama movie vile, kwani baada ya kuzipata taarifa hizo mke wa mgoni huyo alichukua Taksi na kuwa eneo la tukio ambapo kwa bahati nzuri alibahatika kuwakuta wakiwa wote wanajivinjari huku mume kuonekana kutokuwa na wasi wasi kabisa.
Vurugu ilianza pale mke wa mgoni huyo kumua kumuangushia kichapo cha mbwa mwizi mwananmke ambaye alikuwa akijinjari na mumewe hadi pale walipokuja kuamriwa na watu ambao walisikia makelele ya tukio hilo
HIVI KWA HALI HII NDOA ZETU ZINA USALAMA KWELI?? TUPO WANGAPI!!! TULIZANA.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....