Tukio hilo lililowashangaza wadau, lilitokea hivi karibuni wakati
mastaa hao walipokuwa wanarekodi moja ya vipindi vya washiriki wa
Shindano la Vigori katika Hoteli ya Kebbys Mwenge jijini Dar.
“Jamani mimi ninalo (wowowo) kuliko wewe, ukubwa dawa mimi na wewe wapi kwa wapi Sajent?” alisikika Maimartha.
-GPL
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....