Ndege iliyokuwa imebeba mwili wa marehemu ambaye alikuwa gavana wa Nigeria, imepata ajali na baadhi ya abiria kufariki na wengine kukimbizwa hospitali. Baadhi ya abiria hao walikuwa wanasindikiza mwili huo kwa ajili ya maziko lakini safari iliingia hitirafu.Ajali hiyo ilitokea baada ya injini kufeli ndege ikiwa hewani muda mfupi baada ya kupaa kwenye airport moja huko Nigeria. Ndege ilikuwa na watu 20 na watu watano ndiyo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....