Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000.
Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa |
Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari la hili la mtoto wa Bakhresa |
Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000 |
Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa |
Bin Zubeiry aliionja kidogo |
Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani? |
Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam-BIN ZUBEIRY |
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....