Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa.
1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
http://www.thecitizen.co.tz/News/Rev...z/-/index.html
Cha kushangaza ni kuwa mkoa wa Mtwara ambao umezungukwa na gesi yenye ujazo wa mabilioni haupo kwenye orodha hiyo.
Lakini swali ni je,kwanini arusha haipo hata katika top 3 ya mikoa tajiri yenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi ya utalii yanamilikiwa na wageni au mengi yanatokea katika mkoa wa Dsm.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....