Mtaalamu wa miti shamba nchini ambae ni mwenyeji wa Tabora aliyejitambulisha kwa jina la Kamdege amesema kuwa anasikitishwa sana maumivu anayoyapata mtangazaji wa kituo cha DTV DVJ PENNY kwa sababu ya mwanamuziki Diamond, hivyo amemtaka mrembo huyo afike ofisini kwake mara moja ili ammalizie tatizo hilo.
Akiongea kwa njia ya simu [ 0788-844490 ], Kamdege amesema kuwa unyama na ukatili anaofanywa na msanii Diamond unaweza kukomeshwa endapo mmoja wa wasichana hao ataamua kufanya maamuzi magumu ya kuchukua kinyesi chake na kumpelekea ili amtulize.
Katika maelezo yake, mganga huyo alifafanua kwamba kinyesi hicho hakitatumika kumdhuru Diamond kwa namna yoyote ile, bali kitatumika kuituliza MAMBO yake na kumfanya aridhike na mwanamke mmoja huku wengine akiwaona mavi tu...
Mwandishi wetu alitaka kujua maana ya kuwaona mavi tu ambapo mganga huyo alifafanua kama ifuatavyo:
"Huo ni msemo tu, maana yake ni kwamba hatakaa atamani vya nje ambavyo ni VICHAFU.Sina maana ya kumfanya awachukie wasichana wengine"..
"Naomba niweke wazi, dawa hii si kwa ajili ya Diamond tu.Ni kwa ajili ya mwanaume yoyote msaliti. Yaani akitengezwa, usaliti utabaki kuwa historia tu

Aidha mtaalamu huyo alijinadi kwamba anauwezo wa kutibu matatizo mengine ya kiafya, kikazi, kwa wenye kesi mahakamani na wangependa kesi hizo zifutwe, kupandishwa vyeo....
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....