Rashid Makwilo ‘Chid Benz’. |
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, Kassim alichukizwa na kauli hiyo na kumvaa Chid Benz huku akitoa matusi mazito na kuwataka watu waliokuwa karibu kuwaachia ili wachapane.
Kassim Mganga.
“Chid atawapiga wengine siyo miye,” alisikika akisema Kassim huku akirusha mashambulizi kwa kudai kuwa Chid anatumia ‘unga’.Hata hivyo, watu walioshuhudia tukio hilo waliwazuia wasipigane licha ya kwamba walishikana mashati huku kila mmoja akimrushia mwenzake maneno makali.
0 comments:
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA....